Wednesday, February 24, 2016

ALBINO HAWANA HATIA

TUSIWAUE WENZETU WENYE ULEMAVU WA NGOZI TUWAPENDE,TUWAJALI NA TUWALINDE KWANI WAO NI BINADAMU KAMA SISI. TAZAMA WIMBO MPYA WA MR $ MRS ELIHURUMA CHAO UNAOZUNGUMZIA MAUAJI YA ALBINO NA VIKONGWE ILI TUSHIRIKIANE KWA PAMOJA KUWALINDA NDUGU ZETU HAO.

No comments:

Post a Comment