Kulia ni mfanyabiashara anayejulikana kwa jina la anna peter akijishughulisha na biashara kuuza mabegi katika soko la kilombero jijini Arusha |
Wafanyabiashra wakijitafutia riziki zao za maisha katika soko la NMC jijini Arusha |
wafanyabishara wa soko la kilombero jijini arusha wamehimishwa kutokufanya biashara kandokando ya barabara ili kulinda usalama wa maisha yao |
Rai hiyo imetolewa na mwenyekiti wa soko la kilombero jijini arusha bw Issa Hashimu wakati akitembelea wafanyabiashara wa soko hilo.
Hata hivyo wafanyabiasha hao wameitika wito huo na kusema kuwa ugonjwa wa kipindupindu umeenea kwa kasi hapa nchini na kupoteza maisha ya watanzania wengi.
Sambamba na hilo wameipongeza serikali ya awamu ya tano kwa kuweka kipaumbele katika sekta ya mazingira kwa kuzingatia usafi ili kuepukana na magonjwa mbalimbali hapa nchini.
No comments:
Post a Comment