Mshambuliajiwa Real Madrid Cristiano Ronaldo ameondoka kwa hasira katika chumba cha mahojiano kinachotumiwa na Waandishi wahabari baada ya kuulizwa juu ya rekodi yake ya ufungaji magoli katika mechi zaugenini msimu huu.
Ronaldo mwenye miaka 31, amefunga magoli 32 msimu huu lakini hajafunga nje tangu mwezi Novemba.
Ronaldo akionesha kukerwa na swali hilo aliwauliza Waandishi hao wahabari kuwa ni mchezaji gani ambaye amefunga magoli mengi ugenini kuliko yeye tangu amekuja Uhispania
Mara baada ya kuuliza swali hilo jibu lilikoseka na ndipo alipowaambia waanshi asateni akamua kuondoka katika mkutano huo.
Ronaldo alikuwa akiongea na wanahabari kabla ya mechi ya Jumatano ya Real Madrid dhidiya Roma katika Stadio Olimpico Mwezi Disemba,
Mreno huyo alikuwa mchezaji wa kwanza kufunga magoli 10 katika mchuano wa makundi.
Goli lake la 11 ni la ugenini lakini hajafunga katika mechi nneza ugenini.
No comments:
Post a Comment